Saturday, March 11, 2017

UPDATE AFYA YA KAKA HAJI RAJAB

Ndugu Wanajumuiya,

Habarini za weekend. Kwa niaba ya familia ya Kaka Haji tunaomba kuwapa update ya hali ya mgonjwa.

Mpaka sasa kaka Haji bado yupo ICU Memorial Herman hospital na yuko kwenye induced coma.



Madaktari wa moyo wanachunguza kujua chanzo cha mshituko wa moyo wake na kumpatia tiba.

Mgonjwa anatakiwa kupumzika kwa hiyo madaktari wanashauri tusiende ICU kumuangalia kwa sasa mpaka hapo afya yake itakapotengemaa.

Familia imefungua account ya gofundme na vilevile kuna njia nyingine ambazo ziko hapa chini kwa mwanajumuiya yeyote atakayetaka kuchangia gharama za matibabu na familia ya kaka Haji.

Tunaombwa tuendelee kumuombea katika Sala

Please donate generously into the following accounts:

https://www.gofundme.com/fighting-for-his-life-please-help

Wells Fargo bank
Name: Zalfa Simai
Acc. Number: 3400739086
Routing No. 111900659

1) Paypal: lizzla44@yahoo.com

2) Cash app: 832 332 0027

3) Cash (PESA TASLIMU) handed to: Shangazi Sasha

4) Checks paid to the order of: ZALFA SIMAI

For more information don't hasitate to call 832 620 7707, 832 367 1473, 832 495 6921

Please let us know when the money is deposited for updates and records.

Link ya Whatsapp group ya Kaka Haji:
https://chat.whatsapp.com/9WsqewdetI38LocNaUaoez

Imetolewa na :
Uongozi THC
Kny Familia ya kaka Haji Rajab

No comments:

Post a Comment