Friday, March 10, 2017

TAARIFA KUTOKA FAMILIA YA BW. NYINGO

Ndugu Wanajumuiya,

Familia ya Nyingo inasikitika kuwajulisha kifo cha mke wa kaka Paul Nyingo wa hapa Houston kilichotokea huko nyumbani Tanzania siku ya Jumanne tarehe 07/03.

Tafadhali ungana nasi siku ya kesho Jumamosi (11/03) kwenye shughuli fupi ya kumpa pole na kumfariji Mr Nyingo na familia yake katika makazi yao yaliyopo 15518 Canterbury Forest Dr. TX 77377 kuanzia saa 10 jioni - saa 1 usiku (4pm-7pm). 

Kwa maelezo zaidi wasiliana na:

Dj Kaycee - 2812365204  au 
Janeth - 8325575358.



                                                                          ** Nyote mnakaribishwa **

No comments:

Post a Comment