Thursday, February 1, 2018

TANGAZO LA MKUTANO MKUU WA KWANZA WA KIKATIBA WA THC 2018

Ndugu Wanajumuiya,

Uongozi wenu wa THC unapenda kuwataarifu Wanajumuiya wote kuwa kutakuwa na Mkutano wa Kwanza wa Kikatiba kwa  mwaka huu wa 2018 unaotarajiwa kufanyika siku Jumamosi tarehe 10 Februari 2018, saa kumi kamili jioni hadi saa moja kamili usiku (4pm- 7pm) katika anuani ifuatayo :  Marriott Hotel, 2900 Briarpark Dr. Houston, Texas 77042



Agenda za mkutano ni kama zifuatazo;

1) Muhtasari wa Makabidhiano (Transition Recap)

 2) Ada ya Uanachama (FEES) - Taarifa kuhusu Ada ya Mwaka ya Uanachama

 3) Long/ Short Term Projects

 4) BUDGET - Kupokea Taarifa ya Budget  ya 2018

5) Harambee - Mabadiliko ya Uendeshaji wa Harambee za Jumuiya 

6) MENGINEYO  

Kuna maamuzi na mabadiliko mengi ya Kiutendaji ambayo yatatuhusu wote hivyo basi  Uongozi wa THC unawaomba wanajumuiya kuhudhuria kwa wingi bila kukosa katika mkutano huu muhimu.

Imetolewa na Uongozi - THC

NOTE :
Kwa maswali au maoni kabla ya siku ya mkutano tafadhali wasiliana na uongozi kupitia email : thcleaders@gmail.com

No comments:

Post a Comment