Sunday, February 11, 2018

MKUTANO MKUU WA KWANZA WA JUMUIYA KATIKA PICHA

Jumuiya ya Watanzania waishio katika Jiji la Houston , Texas siku ya jana jumamosi tarehe  10 Februari 2018 ilifanya Mkutano wa kwanza wa Kikatiba kwa mwaka huu wa 2018 katika ukumbi Marriott Hotel. Mkutano huo ulihudhuriwa na idadi kubwa ya wanajumuiya na mambo mbalimbali kuhusiana na ustawi wa Jumuiya yalijadiliwa. Pata picha za mkutano huo.

Rais mpya wa Jumuiya wa Watanzania wa Houston (THC) Bw. Lambert Tibaigana
                                                                                
Wanajumuiya wakiwa kwenye mkutano

Wana-THC

THC Present & Future

Makamu wa Rais wa THC Bw. Selemani Karinga  Sekulu

Mwanajumuiya Dr. Maliyamkono akichangia hoja

Wanajunuiya wakipitisha maamuzi

Wana-THC

Wanajumuiya wakifuatilia mkutano

















































































































No comments:

Post a Comment