Marehemu Andrew Nicky Sanga |
Ndugu wanajumuiya,
Tafadhali pokea ujumbe ufuatao kutoka kwa Familia ya marehemu Andrew Nicky Sanga.
Mtuhumiwa wa mauaji ya ndugu yetu Andrew Nicky Sanga anayejulikana kwa jina la Villere Johnson atapandishwa kizimbani kusomewa mashitaka kwa mara ya kwanza kesho Jumanne tarehe 15 Novemba, 2016 saa tatu kamili asubuhi. (9am)
Mtuhumiwa :Villere Johnson
Court No# 338
Address: 1201 Franklin, 15th Floor. Houston, Texas 77002
Time: 9:00 am
Wanajumuiya watakaokuwa na nafasi tunaombwa kuhudhuria mahakamani kuweza kujua nini hatma ya kesi ya mpendwa wetu.
Ahsanteni
Uongozi THC
No comments:
Post a Comment