Saturday, November 12, 2016

BoT YAFANYA MKUTANO WA KUCHAGUA KAMATI YA UCHAGUZI

Jioni ya leo Tanzania  Houston Community Board of Trustees ilifanya mkutano wa kuchagua kamati ya watu 7 ya kuandaa na kusimamia uchaguzi wa viongozi wanaomaliza muda wao pamoja na kujaza nafasi ya Katibu Mkuu wa THC ambaye alijiuzulu.

Kamati mpya iliyochaguliwa itakuwa na wajumbe wafuatao :

1) Renatus Mukunirwa
2) Edna Lwekamwa
3) Justice Munissi
4) Jonas Mbuya
5) Khadija Mkondera
6) Ayoub Mwajasho
7) Catherine Mvungi

Pata picha za mkutano huo uliofanyika 18203 Groeschke Rd, Houston, TX 77084 hapa chini:

Wana BoT wanaomaliza muda wao kutoka kushoto Chairman Neville Rugaimukam, Secretary Lenny Mangara na Mjumbe Emmanuel K. Emmanuel


BoT Chairman Neville
Ephraim & George



The 1st family of  THC Mr & Mrs Mayocha






























































































No comments:

Post a Comment