Ndugu Wanajumuiya,
Tunapenda kuwafahamisha kuwa kesi ya ndugu yetu Marehemu Andrew Nicky Sanga iliyokuwa ianze kusikilizwa siku ya Jumatano tarehe 24 August 2016 IMEAHIRISHWA.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa familia ya marehemu mtuhumiwa wa mauaji Villere Johnson bado yupo mikononi mwa polisi kwa mahojiano zaidi.
Tutawaletea taarifa ya terehe mpya ya kusikilizwa kesi pindi tutakapoipata.
Ahsanteni kwa ushirikiano wenu
Uongozi THC
No comments:
Post a Comment