Wednesday, July 6, 2022

MEMORY LANE: WANAJUMUIYA YA HOUSTON ENZI HIZO (1999-2004)

 Jumuiya yetu imeanzia mbali. Siyo vibaya kupata kumbukumbu ya maisha ya wengi wetu wakati huo tukiwa vijana. Wengi wetu sasa hivi ni wanafamilia wenye watoto wanaomaliza college education. Na wengine wameshatangulia mbele za haki. Tuendelee kujenga Jumuiya imara na yenye mshikamano.

































No comments:

Post a Comment