Sunday, July 10, 2022

HOUSTON MUSLIM COMMUNITY EID EL-HAJJ 1443 CELEBRATION

Jumuiya ya Waislamu waishio katika Jiji la Houston Texas siku ya jana Jumamosi walifanya maadhimisho ya sikukuu ya Eid El-Hajj katika viwanja vya Cullen vilivyoko katika makutano ya barabara za Greenhouse na Saums. Sherehe hizo ziliambatana na BBQ, Michezo ya watoto. Mama wa mitindo kutoka Tanzania Bi Asia Idarous Khamsin alikuwepo pia kuonyesha bidhaa mbalimbali za mitindo. Pata picha za tukio hilo hapa chini;





































































































































































































































No comments:

Post a Comment