Friday, December 1, 2023

THE 5th THC KIDS & JUNIOR GALA 2023

THC - KIDS GALA ilifanyika Novemba 11, 2023. Event hii ya watoto ilikuwa na mafanikio makubwa. Iliwaunganisha watoto wa Jumuiya kuanzia umri wa mwaka 1 hadi umri wa miaka 16. Tunawashukuru sana Wanajumuiya wote waliotuunga mkono na wengi waliojitokeza kuleta watoto kwenye Event hii.

Tunatoa shukrani zetu za dhati kwa kila mtu aliyechangia kufanikisha Event hii wakiwemo Wafadhili wetu, Wanajumuiya waliojitolea na waliohudhuria. Usaidizi wenu ni ushahidi wa nguvu ya Jumuiya yetu na dhamira ya pamoja ya kuleta mabadiliko chanya.

Main Sponsor wetu alikuwa Ascend Cares Foundation

Donors wetu ni Wanajumuiya wote waliochangia pesa

Volunteers wote - Special thanks to the Kids Gala Committee 









CELEBRATING THE LIFE OF OUR BROTHER GEORGE KASAPIRA

Pata picha za shughuli ya kufurahia maisha ya Kaka yetu Marehemu George Kasapira hapa chini kwa hisani ya kaka Mtangazaji Maduhu

Pastor Lily, Beyonce na Ashanti (familia ya marehemu George)







Monday, November 13, 2023

Rest In Peace Kaka George Theodas Kasapira

OBITUARY



NOVEMBER 24, 1971 – NOVEMBER 8, 2023

IN THE CARE OF

Forest Park Westheimer Funeral Home and Cemetery


George Theodas Kasapira, age 51, of Houston, Texas passed away on Wednesday, November 8, 2023.

A visitation for George will be held Friday, November 17, 2023 from 3:00 PM to 7:00 PM at Forest Park Westheimer Funeral Home, 12800 Westheimer Road, Houston, TX 77077. A funeral service will occur Saturday, November 18, 2023 from 2:00 PM to 3:00 PM, 12800 Westheimer Road, Houston, TX 77077. A committal service will occur Saturday, November 18, 2023 from 3:00 PM to 3:30 PM at External Service Location, 12800 Westheimer Rd, Houston, TX 77077.


Fond memories and expressions of sympathy may be shared at www.forestparkwestheimer.com for the Kasapira family.

Saturday, September 9, 2023

TANGAZO LA MKUTANO MKUU WA KIKATIBA

Ndugu Wanajumuiya, 

Uongozi wenu wa THC unapenda kuwatangazia kuwa Mkutano Mkuu wa Kikatiba utafanyika siku ya Jumamosi tarehe 16/09/2023 (September 16th). Mkutano utafanyika katika anuani ifuatayo;

Venue/ Mahali : Holiday Inn Express, 2205 Baker Oaks Dr. Houston TX 77077 

Time/ Muda: 5pm to 9pm 


Ajenda za Mkutano ni kama ifuatavyo;

1) Bajeti

2) Ada ya Uanachama ( Membership Fees)

3) Mipango ya Jumuiya ( Community Plans/Goals)

4) Mengineyo


Wote mnakaribishwa katika Mkutano huu muhimu katika kuijenga Jumuiya yetu.


Kama kuna ajenda au maswali kabla na baada ya Mkutano tafadhali wasiliana na Uongozi kupitia baruapepe/email ya Community thc.leaders@gmail.com 


Ahsanteni sana,

Uongozi THC

Sunday, August 27, 2023

THC LADIES BRUNCH/LUNCH AT FADI'S

Rais wa Jumuiya Bi. Leyla Kikuzi  jioni ya leo tarehe 27 August 2023 alifanya hafla (THC Ladies Brunch/Lunch) iliyohudhuriwa na Wanawake wa jumuiya ya THC. Hafla hiyo ya kupendeza ilifanyika katika Mgahawa wa FADI's Mediterranean Grill uliopo Katy.

Rais wa Jumuiya alipata wasaa wa kuzungumza na Wakinamama na kukusanya ideas/ mawazo yao ambayo yataweza kutusaidia kukuza Jumuiya yetu.

Mambo mengi yalijadiliwa katika hafla hiyo ambapo kwa pamoja Wakinamama walikubaliana kuwa watakuwa bega kwa bega na Rais Madam Leyla katika kusukuma gurudumu la maendeleo ya Jumuiya yetu kwa faida yetu na vizazi vyetu vijavyo.

Pata baadhi ya picha xa tukio hilo hapa chini;

Madam President Bi. Leyla Kikuzi

THC Ladies










Monday, July 17, 2023

MADAM PRESIDENT LEYLA KIKUZI AAPISHWA KUWA RAIS WA THC

President Leyla Kikuzi






Mr Anthony Rugimbana

General Secretary Benard Gupta Ngonyani

Public Relations Cassius Pambamaji

Our Community Future

Saturday, July 15, 2023

MADAM LEYLA KIKUZI ACHAGULIWA KUWA RAIS WA THC KWA MUHULA WA 2023-2025

 Jumuiya ya Watanzania waishio katika Jiji la Houston , Texas na vitongoji vyake imefanya uchaguzi wa viongozi wake kwa muhula wa 2023-2025 ambako Bi Leyla Kikuzi ameibuka kuwa Rais wa Jumuiya baada ya kuwaangusha wapinzania wake Bw Issa Kingu na Bw Selemani Kalinga.


Madam President Ms Leyla Kikuzi

Mr Erasto Mvungi - VP

Ms Zaina Oliver - Treasurer

Mr Benard Gupta Ngonyani - General Secretary

Mr Cassius Pambamaji - Public Relations

Safu Mpya ya Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania Houston (THC) ni kama ifuatavyo;

The Executive Commitee

Ms Leyla Kikuzi - President

Mr Erasto Mvungi - Vice President

Mr Benard Gupta Ngonyani - General Secretary

Ms Zaina Oliver - Treasurer

Mr Cassius Pambamaji - Public Relations

 

Wajumbe wa Bodi ni;

1. Lambert Tibaigana

2. Onesmo Fue

3. Ephraim Mpendamani

4. Emmanuel Katili

5. Augustine Mkude

6. Michael Ndejembi

7. Sabhina Mwingira