Sunday, August 27, 2023

THC LADIES BRUNCH/LUNCH AT FADI'S

Rais wa Jumuiya Bi. Leyla Kikuzi  jioni ya leo tarehe 27 August 2023 alifanya hafla (THC Ladies Brunch/Lunch) iliyohudhuriwa na Wanawake wa jumuiya ya THC. Hafla hiyo ya kupendeza ilifanyika katika Mgahawa wa FADI's Mediterranean Grill uliopo Katy.

Rais wa Jumuiya alipata wasaa wa kuzungumza na Wakinamama na kukusanya ideas/ mawazo yao ambayo yataweza kutusaidia kukuza Jumuiya yetu.

Mambo mengi yalijadiliwa katika hafla hiyo ambapo kwa pamoja Wakinamama walikubaliana kuwa watakuwa bega kwa bega na Rais Madam Leyla katika kusukuma gurudumu la maendeleo ya Jumuiya yetu kwa faida yetu na vizazi vyetu vijavyo.

Pata baadhi ya picha xa tukio hilo hapa chini;

Madam President Bi. Leyla Kikuzi

THC Ladies

































No comments:

Post a Comment