Jumuiya ya Watanzania wanaoishi katika Jiji la Houston, Texas na vitongoji vyake siku ya Jumamosi tarehe 09 August, 2025 katika viwanja vya Cullen Park walifanya party ya nyama choma (Back2Skul BBQ Party) . Party hiyo maalumu kwa ajili ya kuukaribisha mwaka mpya wa shule kwa watoto wetu ilifanyika kwa udhamini wa Jumuiya ya THC wakishirikiana na Club ya Wakinababa wa Jumuiya (THC GENTLEMEN CLUB) . Pata picha nzuri za tukio hilo;
 |
Rais wa Tanzania Houston Community Madam Leyla Kikuzi |
 |
Viongozi wa THC from L-R PR Cassius, President Leyla, Katibu Neema na VP Mvungi |
No comments:
Post a Comment