Monday, December 2, 2019

THC ENTREPRENEURS NIGHT 2019

Usiku wa Wajasiriamali ( THC Entrepreneurs Night ) ulifanyika katika hotel ya Hilton ambapo wafanyabiashara mbalimbali kutoka ndani na nje ya Houston walipata nafasi ya kuonyesha na kuuza bidhaa zao. Event hii ambayo huwa inafanyika kila mwaka siku moja kabla ya Thanksgiving Gala Night ilikuwa ya kufana sana. Pata picha za tukio hilo hapa chini.










                                                                                 

















































































































































No comments:

Post a Comment