Sunday, November 18, 2018

THE THC JUNIOR GALA 2018

Jumuiya ya Watanzania wanaoishi katika Jiji la Houston, Texas na vitongoji vyake mwishoni mwa juma hili walifanya sherehe kubwa kwa ajili ya watoto wa wanajumuiya wote maarufu kama THC JUNIOR GALA 2018. Sherehe hizo zilizofana sana na kuhudhuriwa na watoto wengi zilifanyika katika ukumbi wa kanisa la Lutheran lililoko barabara ya Westheimer . Pata picha za tukio hilo.

Watoto wetu wakiwa kwenye Red Carpet
Beautiful Tanzanian kiddos
Our future Models



Ms Zoe akipiga Piano




































































































































































































































No comments:

Post a Comment