Sunday, May 20, 2018

PARTY YA WAFANYABIASHARA WA HOUSTON YAFANA

 
Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Ki-Tanzania wanaoishi katika jiji la Houston jimboni Texas jana siku ya Jumamosi ya tarehe 19/05/2018 walifanya Sherehe ya kuwashukuru wateja wao (Customer Appreciation Party ) katika Park ya John Paul Landing iliyoko mitaa ya Katy. Party hiyo iliyokuwa ya kupendeza ilishirikisha wazazi na watoto wa rika zote. Kulikuwa na muziki, vinywaji, nyama choma na michezo mbalimbali ya watoto.  Pata picha za tukio hilo hapa chini.
  
Bw. David Mrema kutoka Pamoja We Can
Kaka Justus Tiluwa na Matthew Mohono kutoka Makini Loans
 
Realtor wetu Bw. Ephraim Mpendamani kutoka REALM
Chris & Angel Scraton kutoka Angel Miracle Hair Oil
 
 
Wana THC kutoka Kushoto Bw. Mussa Zavallah, Bw. Abdulkarim Faraj, Bw. Mpendamani na kaka Magoha Mayagila
 
 
Bango la Party ya Wafanyabiashara
 
Watoto wetu wa THC wakifurahia michezo kwenye Park
 
Watoto wetu wa THC wakifurahia michezo kwenye Park
 
 
 
 
 
 
 
 


 
 



 




 


 

 






 

 





 


 





 










 

 

 





 





 


 




 





 





 



 



 


 















 




 


3 comments:

  1. Well good job .Ni vyema kukutana na kubadilishana mawazo.Nitakuja na bidha yangu next event.well done organisers

    ReplyDelete
  2. Safi sana๐Ÿ˜‹๐Ÿ‘Œ๐Ÿ’ช.

    ReplyDelete
  3. Online sex shop
    Buy 100% legal imported adult Sex Toys for Men & Women . We are leading Adult Sex Products Online Store. Buy cock ring for Men, Vibrators, dildos for Female, strap-ons, masturbators, fleshlights etc!

    ReplyDelete