Monday, June 12, 2017

PARK DAY : SUMMER PLANS FOR THC KIDS

Jumamosi iliyopita baadhi ya wana THC walikutana Cullen Park kujaribu kupanga shughuli za watoto wetu kipindi hiki cha summer. Idadi ya wazazi iliyojitokeza walijadiliana mambo mbalimbali na kukubaliana kuanza walau na mchezo mmoja summer hii. Watoto waliokuwepo walipata fursa ya kucheza michezo mbalimbali ikiwepo soka, maji n.k. Pata picha za tukio hilo kama zilivyonaswa na kamera ya THC

Wazazi na watoto waliokuwepo park wakiwa na Rais wa THC Bw. Mayocha

Wazazi wakijadiliana
Familia ya Mpefo

Familia ya Bw.ana na Bibi Kalinga

Mwalimu James Shemdoe na Dada Hilda























No comments:

Post a Comment