Saturday, June 17, 2017

KIDS SOCCER SUMMER CAMP YAANZA LEO CULLEN PARK

Leo ilikuwa ni siku ya kwanza ya "KIDS SUMMER CAMP" kwa upande wa mchezo wa soka. Kocha James Shemdoe akisaidiana na dada Edna Lwekama waliwaongoza watoto katika session hii ya leo. Waratibu wa mafunzo haya Dada Clara Mushi na Bw. Steve Maonyesho wanategemea watoto wengi zaidi watajitokeza wiki ijayo

Wazazi wakiwa na watoto walioshiriki camp siku ya leo

Watoto wakiwa na Mratibu Bw. Maonyesho

Mary Lydia akifanya mazoezi ya dribbling

Mary, Mia na Jaden

Watoto wakifanya mazoezi

Dad Phoebe naye alikuwepo



 





































































No comments:

Post a Comment