Ndugu Wanajumuiya,
Kama tulivyowafahamisha hapo jana juu ya msiba wa Mzee Willy M. Mrema ifuatayo ni UPDATE ya msiba huu.
Familia itafanya misa siku ya jumamosi tarehe 29 Oktoba. Misa itafanyika kwenye Ukumbi wa Safari uliopo 7601 De Moss Dr. Houston, TX 77036 kuanzia saa 10 kamili jioni hadi saa 3 usiku (4pm-9pm).
Tunaombwa kuzingatia MUDA
Tunaomba wakinamama mje na vyakula na wakinababa mtusaidie vinywaji kama ilivyo desturi yetu.
Mzee Willy M. Mrema enzi za uhai wake |
NOTE:
Wafiwa wote wanapatikana mpaka Ijumaa jioni wiki hii.
ADDRESS:
8114 Barnes Ridge Ln, Houston, TX ,77072
Bw. Denis Mrema na mke wake Monica wanatarajia kusafiri siku ya jumapili 30/10 kuelekea nyumbani kwa ajili ya mazishi.
Tufike kuwafariji katika kipindi hiki kigumu na kuwa SUPPORT.
RAMBIRAMBI kwa WAFIWA
BANK & Account INFORMATION
Name: DENIS MREMA
Chase Acct #: 294 864 7066
Wells Fargo Acct#: 0841297203
Square Cash: $KNyama 713-517-4151
Name: LUCY J. MREMA
Bank of America Acct #: 586030670733
Tunaombwa kuwa- SUPPORT
Uongozi THC
No comments:
Post a Comment