Siku ya Jumamosi tarehe 16/07/2016 Jumuiya ya Watanzania Houston ilikusanyika kwenye viwanja vya Cullen Park kwa ajili ya
NYAMA CHOMA SUMMER BASH. Pata picha za tukio hilo hapa chini.
 |
Mama Mrembo, Dada Lina na Dada Nella |
 |
Kaka Magoha akiweka mambo sawa
|
 |
Darda King |
 |
Dada Kemi |
 |
Mama na mwana |
No comments:
Post a Comment