Wednesday, November 15, 2017

TAARIFA YA MSIBA MWANAJUMUIYA MWENZETU KAKA HAJI RAJAB

Ndugu Wanajumuiya,

Kwa masikitiko makubwa tunawaletea taarifa ya msiba wa mwanajumuiya mwenzetu Kaka Haji Rajab kilichotokea jioni hii hapa Houston.

Marehemu Haji Rajab 

Maelezo zaidi na utaratibu mzima wa msiba utaletwa kwenu haraka iwezekanavyo pindi tutakapojulishwa na familia.

Tunaombwa kuiombea na kuifariji familia ya Marehemu kaka Haji katika kipindi hiki kigumu.


         Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un


Imetolewa na :
Uongozi  THC

No comments:

Post a Comment