Timu ya soka ya THC maarufu kama Dsquad jioni ya jana kwenye viwanja vya Memorial Park waliwafunga wageni wao Atlanta kwa mabao 4-3 na kubeba kombe la
ANDREW NICKY SANGA 2016. Mechi hiyo ya kukata na shoka ilihudhuriwa na wakazi wengi wa Houston na miji ya karibu. Mgeni rasmi katika mechi hiyo alikuwa
Bi. Zoe Sanga aliyeongozana na mama yake
Bi. Emmy Matafu.
|
Miss Zoe akiwa na kombe lililopewa jina na Baba yake Andrew Sanga |
|
Zoe akimkabidhi kombe la ushindi Captain Rahim Chomba |
|
DSQUAD |
|
ATLANTA |